Wednesday, 20 April 2016

AUDIO JINSI PAUL MAKONDA ALIVYOMSHITAKI WILSON KABWE KWA MWESHIMIWA RAIS

LAYIII
Haya ndiyo yaliyojjitokeza katika uzinduzi wa daraja la kigamboni kama hukupata kumskia magufuli ni nafasi yako sasa na jinsi wilson kabwe alivyosimamishwa kazi chini ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda
http://www.fikrapevu.com/wp-content/uploads/2012/02/wilson-kabwe.jpg
Makonda alimshtaki kabwe kwa mweshimiwa rais. Moja wapo ya tuhuma za kabwe kwa mujibu wa makonda ni kuendesha kituo cha mabasi yaendayo mikoani kifisadi ambapo mapato mengi huishia mifukoni mwa wachache. Rais amemfukuza kazi kabwe mbele
ya wananchi kwa hiyo jiji kwa sasa halina mkurugenzi mpaka Rais atakapofanya uteuzi mwingine

mskiliza magufuli hapa

No comments:

Post a Comment

advertise here