Wednesday, 20 April 2016

WAWILI WAFARIKI DUNIA BAADA YA GARI YAO KUDUMBUKIA NDANI YA BAHARI KIVUKO CHA KIGAMBONI

LAYIII
Shudia ajari ya moto katika scania moja maeneo ya hiko sumbawanga bonyeza picha hii mtu wangu
https://www.youtube.com/watch?v=9sM6NHl7Xzw
Watu wawili wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakitumia kudumbukia ndani ya bahari ya Hindi baada ya dereva wa kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam kushindwa kufunga mlango wa kifuko hicho kwa ufasaha.
Ajali hiyo ya kuzama kwa gari hilo ilitokea majira ya alfajili ya kuamkia leo ambapo kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, marehemu hao walikuwa wakivuka kutoka katikati ya jiji kuelekea Kigamboni huku mlango
wa kivuko hicho ukiwa haujafungwa vizuri.
Kwa mujibu wa kamishina wa kikosi cha uokoaji amesema licha ya kupata taarifa mapema za tukio hilo uchache wa vifaa uliwakwamisha kufanya zoezi la uaokoaji.
Kwa upande wake msemaji wa kivuko hicho bi theresia mwani  amesema moja ya hatua za haraka walizozichukua baada ya tukio hilo kutokea ni kuvialifu vyombo vya ulinzi na usalama huku mbunge wa jimbo la kigamboni dkr faustine ndungulile  akiahidi  kupeleka hoja bungeni ya ununuzi wa vifaa vya uokozi.

ulipitwa na skania iliyowaka moto hii hapa mtu wangu

No comments:

Post a Comment

advertise here