LAYIII
Bado harakati za uzinduzi wa kampeni za siasa zilikuwa zikiendelea katika maeneo tofauti Dar Es Salaam, August 30 ilikuwa ni siku ya uzinduzi wa kampeni za chama cha ACT- Wazalendo
katika viwanja vya Mbagala Zakheem, chama ambacho ni kipya katika medani za siasa ila August 30 kimemtambulisha rasmi mgombea Urais wake Anna Mghwira sambamba na mgombea mwenza wake Hamad Musa Yusuph. Kampeni hizo zilihudhuriwa na wagombea ubunge na udiwani, wasanii mbalimbali pamoja na viongozi wengine wa chama kama Zitto Kabwe, Prof Kitila Mkumbo.
Hizi ni picha za uzinduzi huo video nakuwekea Ayo Tv
No comments:
Post a Comment