Friday, 28 August 2015

MAN U YAKAMILISHA USAJILI WA KEVIN

LAYIIII
Kupitia kwa mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Wolfsburg ya Ujerumani Klaus Allofs amethibitisha kwa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea kurudi katika Ligi Kuu Uingereza. Klaus Allofs amethibitisha kuwa klabu ya Wolfsburg imeridhia kumuachia Kevin De Bruyne ajiunge na klabu ya Manchester City.
De-Bruyne-main
De Bruyne akipiga picha na mashabiki wakati akiwa njiani kuelekea Manchester usiku wa August 28
Kevin De Bruyne atakuwa anarejea katika Ligi Kuu Uingereza ikiwa ni miezi 18 imepita

BZMORNING TANZANIA HAYA NDO MAGAZETI YA LEO 29/08/2015

LAYIII
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 28,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku,

MBUNGE (WEMA SEPETU) ALIYESHINDWA AKALIBIWA NA KIPINDUPINDU

LAYIII
Brighton Masalu
Taarifa za ugonjwa wa kipindupindu zimebadili mfumo wa maisha ya watu wengi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha maeneo wanayoishi ni masafi lakini nyumbani kwa msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Kijitonyama jijini Dar hali ni tofauti

NAVY KENZO WAZIDI KUCHANA ANGA

layiii


Kundi linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo.
Boniphace Ngumije
KUNDI linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo, linaloundwa na wasanii ‘couple’, Aika na Nahreal limezidi kuchana anga baada ya wimbo wao unaoitwa Game

BZMORNING TANZANIA KUTANA NA MAGAZETI YA LEO 28/08/2015

LAYIII
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 28,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa,

Magazeti 18 ya Tanzania August 28 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews( na millardayo.com)

layiii
trending-news
Uchambuzi wa magazeti kupitia @CloudsFM umefanyika tayari, ninazo zile zote zinazoweka headlines kwenye magazeti leo 28 August 2015 baadhi zikiwa…

KUTOKA UTURUKI WALIKOWEKA KAMBI TAIFA STAR HII NDIYO REPORT

LAYIII
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado ipo nchini Uturuki inaendelea na kambi yake ya siku nane kujiandaa kabla kucheza mechi dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles ya kuwania kufuzu AFCON 2017, mchezo utakaopigwa Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
ball
August 27 kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametoa ripoti kuhusu maendeleo ya kambi hiyo sambamba na hali za wachezaji, Mkwasa amethibitisha wachezaji kuwa katika hali nzuri

advertise here