Friday 28 August 2015

KUTOKA UTURUKI WALIKOWEKA KAMBI TAIFA STAR HII NDIYO REPORT

LAYIII
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado ipo nchini Uturuki inaendelea na kambi yake ya siku nane kujiandaa kabla kucheza mechi dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles ya kuwania kufuzu AFCON 2017, mchezo utakaopigwa Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
ball
August 27 kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametoa ripoti kuhusu maendeleo ya kambi hiyo sambamba na hali za wachezaji, Mkwasa amethibitisha wachezaji kuwa katika hali nzuri
kasoro Abdi Banda ndio anasumbuliwa na misuli. Vipi kuhusu uamuzi wa kuweka kambi Uturuki ikiwa kuna hali ya hewa ya baridi ukilinganisha na sehemu utakapopigwa mchezo huo.
DSC_0030
“Kwa ujumla kambi inaenda vizuri wachezaji wapo vizuri kasoro Abdi Banda ndio amepata matatizo ya misuli, tupo huku kwa kambi tunajua kuna baridi ila sehemu yenye baridi kuna Oxygen ndogo hivyo mapafu yanafanya kazi sana kutafuta hewa hivyo ukizoea kuvuta hewa kidogo ukija katika sehemu ambayo ina hewa nyingi inakuwa rahisi kucheza vizuri”>>> Mkwasa
Taifa Stars itacheza mechi ya kirafiki na timu ya taifa ya Libya siku ya August 28 ikiwa Uturuki kama sehemu ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Nigeria.
Hii ni sauti ya Mkwasa


No comments:

Post a Comment

advertise here