Sunday, 28 February 2016

MSANII CHIPUKIZI KUTOKA TANZANIA ANAYE TIKISA MAREKANI {JAY_METTY}

LAYIII
bonyeza picha kuiona video yake hapo mtu wangu
https://www.youtube.com/watch?v=tNg7FdS2kz4
 Msanii chipukizi wa bongo flaver kutoka tanzania anayetamba na kutikisa nchini marekani ameonyesha kipaji chake kingine kuwa ni bone la producer na hits zake zimekaa kwa maadhi ya kimataifa  JAY METTY ni msanii anayechipukia na anaonyesha haswa zake nchini marekani huku akishirikiana na baadhi ya wasanii wa kubwa nchini humo kama kundi nzima la cash money na baadhi ya makundi ya sanaa nchini humo
CHUKUA MUDA WAKO KUSKILIZA AUDIO YAKE HAPA MTU WANGU

https://www.youtube.com/watch?v=tNg7FdS2kz4
 hivi karibuni JAY METTY alikuwa na ratiba ya kudondosha bonge la shoo nchini Tanzania jijini Dar es salaam lakini kulingana na ratiba na mambo yaliyo chini ya uwezo wake shoo imekwama na imeshindwa kuendelea. kwa mujibu wa msemaji wake mkuu JAY METTY atatoa taarifa mapema pindi mambo yatakapo kuwa yameenda sawa
https://www.youtube.com/watch?v=tNg7FdS2kz4
 Ungana na swaxbz.com ili uwe jirani na kila update zitakazo kuwa zinatufikia kila siku

advertise here