Thursday, 2 June 2016

VIDEO| DOWNLOAD N UIONE VIDEO MPYA YA RICH MAVOKO

LIKE PAGE YETU HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=PYv0tojX3rYRich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment

VIRUSI SAWA NA HIV YA PAKA VIMEGUNDULIWA HUKO KENYA

LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha ya paka huyu kuiona video ya ajabu
https://youtu.be/WoyqBDkOBr4
Je unamiliki paka?

Taarifa hii bila shaka itakuwa yenye manufaa kwako.

Nchini Kenya, virusi hatari aina ya FIV, vinaavyofananana kabisa na virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi vimegunduliwa katika paka mmoja kupitia uchunguzi wa kimaabara.

Hii ni baada ya uchunguzi wa kina wa damu ya paka huyo kuthibitisha uwepo wa viini vinavyofanana kabisa na vile vinavyoathiri binaadamu.

Wafugaji wa paka na wanyama wa nyumbani wameonywa kuwapeleka wanyama wao kufanyiwa uchunguzi wa afya wanapowashuku wanyama wao wanaugua.

RICH MAVOKO RASMI NDANI YA WCB RECORDING LEBAL

LIKE PAGE YETU HAPA
Ni June 2, 2016 ambapo label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi  msanii  wao mpya  Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
Kwa mujibu wa Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii wanne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling’- Diamond Platnumz

advertise here