LIKE PAGE YETU HAPA
Ni June 2, 2016 ambapo
label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye
headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi msanii wao mpya Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
Kwa mujibu wa Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii wanne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling’- Diamond Platnumz
Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika utambulisho wa msanii huyo mpya
No comments:
Post a Comment