LAYIII
Yako majina mawili yaliyoiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ‘Vee Money’… kura zimepigwa na leo ndio ilikuwa fainali yenyewe ndani ya Durban South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.

Tanzania imetoka kifua mbele pia kwa mara nyingine, Daimond Platnumz kafanikiwa kupata ushindi wa Tuzo ya Best Live Act, ambapo alikuwa katika Category tatu tofauti na Vee Money alikuwa kwenye Category moja.
List ya Washindi wote hii hapa..