Saturday, 18 July 2015

NIMEKUSOGEZEA VIDEO HAPA JINSI DIAMOND ALIVOKUWA AKIHOJIWA NA WAANDISHI HUKO DURBAN

LAYIII

Kwenye Press conference hapa Durban South Africa Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali w
anaohusika kwenye tuzo hizi akiwemo Diamond Platnumz, Neyo, P Square na wengine ambapo Diamond alijibu maswali kwa kujiamini na kuelezea mambo mbalimbali kwenye hii video hapa chini.
Diamond 3 

No comments:

Post a Comment

advertise here