LAYIII
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Penny alisema kuwa hivi sasa karibia rafiki zake wote wana watoto kitu kinachomchanganya na kumtamanisha na yeye atundikwe kibendi.
Penniel Mungwilwa ‘Penny’.
Mwanadada anayepiga dili la utangazaji kupitia Zouk TV ambaye aliwahi
kuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungwilwa ‘Penny’
amefunguka kuwa mimba ya shosti wake, Wema Sepetu inampa ‘uchizi’ kwa
kutamani kila kukicha na yeye anase ujauzito.Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Penny alisema kuwa hivi sasa karibia rafiki zake wote wana watoto kitu kinachomchanganya na kumtamanisha na yeye atundikwe kibendi.