SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Senter
CJ Senter alianza mazoezi yake ya kuweka mwili na viungo vyake sawa tangu akiwa na umri wa miaka 5 huko america. Akiwa na umri wa miaka kumi senter alianza kutoa video kwa dvd zikimwonesha umbile lake(six pacs) na kupelekea kuingia katika chat za watoto wenye nguvu zaidi duniani
Richard Sandrak
Hivi sasa na umri wa miaka 23, akiwa kijana mdogo aliingia ktk vichwa vya habari akishukuru misuli yake, Richard amezaliwa ukraine na alianza mazoezi yake akiwa na miaka 6 ( he was bench pressing an incredible 180 lbs). kila siku alikuwa akipiga push up 600 (300 squats)
Maryana Naumova
Yang Jinlong

Maryana Naumoya kwa sasa ndiye anashikilia kiti kwa binti mdogo mwenye nguvu duniani. ni binti wa miaka 16 mzaliwa wa russia (she is a student and a noted female powerlifter who wins competions wherever she go) akiwa na miaka 15 alishiliki ktk shindano la Arnold classic
Yang Jinlong
Akiwa na umri wa miaka 7 tu aliweza kuaminika kama kijana mwenye umri mdogo na mwenye nguvu zaidi duniani . ni kijana mdogo wa kichina
At 7 years old, Yang Jinlong definitely qualifies as one of the
world’s strongest kids. The chinese school boy is large for his age,
weighing in at a hefty 110 lbs. He also possesses strength which is
unusual for kids of his age range. Jinlong has demonstrated the ability
to consistently carry his 200 lb. Father on his back. The pint-sized
powerhouse can also lift and carry 220lb. Bags of cement. If that’s not
enough, he demonstrated the ability to haul the family’s minivan along
the road – a handy skill should it ever break down.
No comments:
Post a Comment