Monday, 9 March 2015

KILE ULICHO NGOJA KUTOKA APPLE IKI HAPA

Saa babu kubwa inayo tamba mtaani kwa sasa kutoka kampuni ya apple ni nouma. imetengenezwa kwa madini ya aluminiamu yenye samani ya dola za kimarekani $349
imeanza kuuzwa kwa dola 549 yenye version ndogo mpaka dola 1049  version kubwa nini kikubwa ni kwamba apple edition inayotamba mtaani inauzwa kwa dola 10000 za kimarekani
http://a.abcnews.com/images/Technology/AP_apple_watch_functions_jtm_150309_4x3t_384.jpg nini hasa
cha ajabu ni kwamba saa hizo zina uwezo mkubwa kwa kuvunja security za uwanja wa ndege zinatumika kama m awasiliano zinatumika kama kinasa sauti
kamata saa kutoka apple mwanangu usisumbuliwe tena na ukaguzi uwanja wa ndege
apple watch known price 349utachati whatsup vya kutosha utaplay musiki ka huna akiri zote utatuma sms vibaya mmmmmnooo yote hayo kutoka apple watch
kikubwa zaidi hiki hapa
apple watch known tapticwireless
apple watch known sensorsendelea kunifuatilia kupata habari moto moto na za uhakika kabisa kutoka kwaSWABZ LAYIIIII

No comments:

Post a Comment

advertise here