NI NOUMA NDANI YA RADIO 5 ARUSHA YAAANI NI HAPATOSHI A TAWOO CHEKI SNAPE ZAKE HAPA WANGU
Wema Sepetu akiwa ndani
ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya ziara fupi mjengoni
hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party
iliyofanyika jana usiku tarehe 7/3/2015 jijini Arusha kushoto ni
mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya kipindi na
mwanadada huyo, Wanaonekana pichani ni team Wema.
Wema Sepetu akiwa
anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema jiji la Arusha
ni miongoni mwa majiji anayoyapenda, Mwanza ikiwa ya kwanza na Arusha ya
pili, Kulia ni msanii Petiman a.k.a Wakuache.
Msafara wa Wema Sepetu ukiingia kwa mbwembwe katika studio za Radio5 zilizopo njiro jijini Arusha.
Muonekano wa Wema Sepetu akiingia mjengoni akiwa katika gari la kifahari la wazi.
Meneja wa Wema Sepetu Martin Kadinda akiwa anatoa neno la shukran kwa wana Arusha kwa mapokezi yao makubwa.
Team mishemishe wakiwa na Wema Sepetu, kushoto; Mwanaisha Suleiman, Wema Sepetu, Mwangaza Jumanne na Hilda Kinabo wakishoo love.
Camera man wa Wema Sepetu akiwa anachukua matukio.
Mtangazaji mahiri wa kituo cha Radio5 Wilfredy akiwa katika picha ya pamoja na mwana dada Wema Sepetu.
Team wema wakiwa wanaondoka katika studio za Radio5.
No comments:
Post a Comment