LAYIII
Jina la Floyd Mayweather
ni moja ya majina ya mastaa wachache waliochukua headlines nyingi zaidi
mwaka 2015, mwaka uko katikati na bado anaendelea kuchukua nafasi
hiyohiyo ya juu… mara nyingi kuna stori ya yeye kustaafu mchezo wa
Ngumi, mpango wake uko palepale ila leo tutamjua mpinzani wake mwingine.
Pambano lake linalofuatia litakuwepo September 12 2015, na tayari majibu yako on air kwamba atakayepambana nae ni Andre Berto, Bondia ambaye ana rekodi ya kushinda Mapambano 33 na amepigwa kwenye Mapambano matatu.
Floyd Mayweather ameshinda jumla ya mapambano 48, hajapigwa hata pambano moja… Berto ataweza kuianguisha record ya huyu jamaa?
No comments:
Post a Comment