Tuesday, 8 September 2015

JINSI GWAJIMA ALIVYO MJIBU DOKTA SLAA

LAYIII
Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, baada ya siku kadhaa kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Viko vya CHADEMA pamoja na Vyama vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado
hazijaacha kuibuka.
Kulikuwa na madai ambayo yaliripotiwa na Vyombo vya Habari pamoja na kuandikwa sana Magazetini na Mitandaoni pia ambapo Maaskofu walitajwa kuhusishwa na Rushwa… Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kaongea Dar es Salaam… kwenye alichokisema kuna hizi nukuu za alichokisema pamoja na pichaz pia.
Screen Shot 2015-09-08 at 7.10.39 PM

No comments:

Post a Comment

advertise here