Friday, 6 January 2017

MTOTO WA OSAMA KUANDAMWA NA WAMAREKANI SASA


Marekani imemtangaza Hamza mtoto wa Osama ktk orodha ya Magaidi. Azuiwa kufanya biashara na wamarekani na mali zake kutaifishwa.

Aidha kiongozi mkuu wa usalama wa kundi la Al Qaeda, Ibrahim al-Banna ametajwa katika orodha
hiyo pia. Marekani itatoa ofa ya dola Million tano kwa atakayesadia kukamatwa kwa al-Banna.

No comments:

Post a Comment

advertise here