Friday 1 April 2016

WORK FROM HOME YAINGIA KUMI NA TANO BORA

LAYIII
Kama unafatilia muziki wa kizazi cha sasa duniani unaweza kuwa umeshakutana nayo lakini kama hujakutana na hii, nakufahamisha wanaitwa Fifth Harmony na single wamemshirikisha Ty Dolla $ign na ni moja ya video zinazochezwa sana kwenye TV kubwa za burudani duniani, kabla ya hapo walipita sana kwenye masikio yetu na hit single ya ‘worth’ ft. Kid Ink.

Work from home ipo kwenye nafasi ya 12 kwenye chati kubwa ya Billboard ikiwa inaendelea kupanda huku nafasi ya kwanza ikiwa mikononi mwa work ya Rihanna.


No comments:

Post a Comment

advertise here