LAYIII
Mexico kusitisha kuwaingiza Marekani walanguzi wa dawa za kulevya pamoja na walanguzi wa binaadamu haraka iwezekanavyo.
Kipande hicho cha filamu kinaisha na mlinzi mmoja akiwawinda wahamiaji jangwani.Filamu hiyo inaigizwa na Garcia Gael Bernal na inaelekezwa na Jonas Cuaron ,mwanawe mwelekezi aliyeshinda tuzo za Oscar Alfonso Cuaron
Wazalishaji wa
filamu moja nchini Mexico kuhusu wahamiaji wanaojaribu kuingia nchini
Marekani wametoa kipande kidogo cha filamu hiyo ambacho kinatumia hotuba
ya bwana Donald Trump kupitisha ujumbe wa filamu hiyo kwamba maneno ni
hatari kama risasi.
Sauti iliowekwa katika filamu hiyo ya
Kihispania, Desierto ,inemuonyesha bwana Trump akiitakaMexico kusitisha kuwaingiza Marekani walanguzi wa dawa za kulevya pamoja na walanguzi wa binaadamu haraka iwezekanavyo.
Kipande hicho cha filamu kinaisha na mlinzi mmoja akiwawinda wahamiaji jangwani.Filamu hiyo inaigizwa na Garcia Gael Bernal na inaelekezwa na Jonas Cuaron ,mwanawe mwelekezi aliyeshinda tuzo za Oscar Alfonso Cuaron
No comments:
Post a Comment