Friday 1 April 2016

NDUGU WA SAJUKI WAFUNGUKIA TARAKA YA WASTARA

LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA KUSKILIZA NA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
WASTARA13
Na Gladness Mallya
KUTOKANA na madai ya kupewa talaka na mumewe Sadifa Juma, ndugu wa aliyekuwa mume wa Wastara Juma, marehemu Sadick Kilowoko ‘Sajuki’, Mohamed Kingochi ‘Mdidi’ amefunguka kuwa ameumizwa na suala hilo kwani walitegemea ndiyo amepata mtu wa kumpa faraja.

ndoa-ya-wastara
Akipiga stori na paparazi wetu, Mdidi alisema wakati Wastara anaolewa walihuzunika ila siyo kwamba hawakutaka aolewe bali ni kutokana na mazoea kwamba watakosa kuwa naye karibu.
“Madai ya talaka ya Wastara yameniumiza sana kwani tulikuwa tunatatarjia akishakaa vizuri kwenye ndoa tuendeleze Kampuni ya WAJEY lakini tangu ameolewa, mambo ni vululuvululu na hili la talaka nalo ndiyo linazidi kutuumiza,” alisema Mdidi.

No comments:

Post a Comment

advertise here