Saturday, 2 April 2016

VIDEO MPYA YA RIHANNA "KISS IT"

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Ipokee na hii ‘kiss it better‘ video mpya ya Rihanna ambaye February 20 2016 alitimiza umri wa miaka 28, single yake ambayo imelia sana masikioni na imepita sana kwenye TV zetu ni work ft. Drake aliyoiachia February 22 2016 na imeshika namba
1 wiki hii kwenye chati kubwa ya Billboard.


No comments:

Post a Comment

advertise here