LAYIII
bonyeza picha hii kujifunza zaidi
Sio siri licha ya kuwa na pilika nyingi
mchana kutwa lakini unapoingia usiku hasa kwa wale wanao ishi na wenza
wao ni vyema kufarijiana kwa njia hii, ili kuchangamsha mwili na akili
kwani kujua kupika na usafi ni mambo ya kawaida lakini katika nyanja za
usiku inabidi uwe fundi na ndio maana www.swaxbz.com imeamua
kukujuza ni jinsi gani unaweza kutaka ili kuwa kivutio au uaridi kwa
mumeo kwa wenye waume na wale
Na Zuhura Simba,
ambao hawajajaliwa kupata ndoa lakini ndo
wanatarajia kufanya hivyo, sasa hakuna mpango wa mji kama huu mwanadada;
Jinsi ya Kukata Kiuno; Usikurupuke mwanadada inabidi ukate kiuono kwa mazoea kwa kufuata utaratibu huu ambao mtembezi.com unakuelekeza; kwanza
Simama wima ukiwa hauna nguo mbele ya kioo ndo itakusaidia vizuri maana
kukata kiuono ukiwa umevaa nguo zinaweza kukudanganya,sasa hapa weka
mikono yako tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele litunishe halafu baki
hivyo kwa muda kidogo halafu lirudishe kwa ndani na ubaki tena kwa
sekunde chache,hapo inabidi urudie tena huku umebana pumzi na mdomo wazi
ambayo itasaidia kukazamisuli ya tumbo,kubadilisha mirindimo (polepole,
haraka, chap-chap,kugandisha mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema.
Msingi wa kukata kiuno; Kama
nilivyosema awali, simama wima na ujishike kiuno na ukizungushe huku na
huku na kisha kipeleke kiuono sehemu ya kiuno kulia yaani upande wa
kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo alafu baada ya hapo peleka
sehemu yako ya kiuno ya kushoto- kushoto, kisha peleka sehemu yako ya
mbele na nyuma hali itakayofanya makalio yako yabinuke kisha rudia
upande wa kulia ulipoanzia.
Ila Inabidi uwe shapu na urudie hatua hizo kama mtembezi.com ilivyo ainisha hadi mara ishirini na kuendelea ili uwe mauno feni.
Kupitia hivyo basi ni dhahiri utakuwa
mwepesi na hapo ndo ubunifu kama mtoto wa kike ni muhimu kwa kugundua
mbinu mbalimbali lakini hatukuachi hapo tu tunakupa baadhi ya mbinu kama
kulala chali, kifudifudi, ubavu, chutama, piga magoti
n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee
halafu usisahau ukiwa ndani ya futi sita kwa sita ndo maujuzi na
kujipima kama umeweza lakini hapa kwetu hakuna kujaribu ni utakuwa
mwalimu wa walimu hadi atadata bwana Fulani.
No comments:
Post a Comment