LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Headlines za Tanzania zinazidi kuwa nyingi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho Wasanii wengi wamekua wakililia au kutamani video zao zionyeshwe hapo kutokana na ukubwa wa Station hiyo na nguvu yake iliyosambaa sehemu mbalimbali Afrika.
Leo March 31 2016 kupitia kituo hicho kilitoa video 10 bora za Africa zinazofanya vizuri zikiwemo mbili kutoka Tanzania Navy Kenzo – Kamatia, Ay ft Diamond Platnumz – Zigo Remix
10.Akothee wa Kenya ft Diamond Platnumz wa Tanzania – My Sweet Love
9.Navy Kenzo – Kamatia (Tanzania) 8.Eddy Kenzo ft Patoranking – Royal 7.Skuki – Zero Competition 6.D’Banj – Emergency 5.Sauti Sol na Ali Kiba – Unconditionally Bae (Sauti Sol Kenya, Alikiba Tanzania) 4.Tiwa Savage ft Olamide – Standing Ovation 3.Humblesmith ft Davido – Osinachi 2.AY ft Diamond Platnumz – Zigo Remix (Tanzania) 1.Wiz Kid – Final ( Nigeria )

No comments:
Post a Comment