LAYIII
Raila Odinga baada ya kufika Chato alisema ‘
mimi
na familia yangu tupo likizo na tumekuja kumtembelea rafiki wa familia
yetu, nimekuja kupumzika na mke wangu na mtoto wangu wa kike, pia
nimekuja kutoa pongezi kwa ndugu yangu kwani tangu achaguliwe sijaja
hapa Chato na nilisema siendi Dar, nitakuja hapahapa Chato‘
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga nyumbani kwake
Chato mkoani Geita
Mama Janeth Magufuli, Rais Magufuli na Raila Odinga
Familia ya Rais Magufuli ikimkaribisha Mama Ida Odinga
Raila
Odinga na Rais John Magufuli, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja
na Mke wa Raila Odinga Ida Odinga wakisali kwenye makaburi ya familia ya
Rais Chato Geita.
Raila
Odinga akisalimiana na mama mzazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Suzana Joseph Magufuli baada ya kuwfika nyumbani kwa Rais Magufuli Chato
Geita
Raila Odinga, Mama mzazi wa Rais Magufuli pamoja na mke wa Raila Odinga, Ida Odinga.
No comments:
Post a Comment