LAYIII
BONYEZA PICHA KUMSIKILIZA MTOTO HAPPY KISHA SUBSCRIBE NAMI YOUTUBE ILI KILA SIKU UPATE VIDEO KALI ZA MATUKIO
BONYEZA PICHA KUMSIKILIZA MTOTO HAPPY KISHA SUBSCRIBE NAMI YOUTUBE ILI KILA SIKU UPATE VIDEO KALI ZA MATUKIO
Kijana mmoja ambae alikuwa kiongozi wa Wahuni nchini ujerumani
alifanyiwa operation mara 25 usoni kwake ili kufuta tattoo zilizopo
usoni mwake.
Akiongea Bryon Widner alisema "kuwa alipitia maumivu makali sana ili
kusafisha sura yake na kuzitoa tattoo hizo. Brydon alitumia miezi 16 na
operation zaidi ya 25 ili kuweka sawa sura yake. Na sasa Brydon
amesafishika sura na kukaa sawa bila kovu lolote usoni
No comments:
Post a Comment