Saturday, 2 April 2016

OBAMA: TRUMP HAELEWI SERA ZA KIGENI

LAYIII
BONYEZA PICHA KISHA JIUNGE NAMI YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Mgombea wa kiti cha urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump, hana ufahamu wowote wa sera za kigeni wala maswala ya ulimwengu! Haya ni kulingana na rais wa Marekani Barrack Obama. Obama ameyasema haya kufuatia matamshi ya Donald Trump kuwa
wanajeshi wa Marekani wanafaa kuondoka Japan na Korea Kusini, na mataifa hayo yanafaa kutengeneza zana zao za kinyuklia.
 https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Mataifa hayo mawili pia hayakufurahishwa na matamshi ya bwana Trump.













No comments:

Post a Comment

advertise here