LAYIII cheki video hapo chini
Ligi ya Copa America ni moja ya Ligi za soka ambazo ni maarufu sana duniani, lakini headlines mfululizo ndani ya wiki moja sasahivi sio stori nzuri sasa.. tulisikia kuhusu Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini kumpa adhabu ya kusimamishwa mechi nne staa wa soka toka Brazil ambae pia ni winga wa pembeni katika Kikosi cha Barcelona, Neymar da Silva Santos Júnior.

Mchezaji kamshika mwenzie makalio Ligi ya Copa America, kilichofuatia kikazua utata mwingine !!
Ligi ya Copa America ni
moja ya Ligi za soka ambazo ni maarufu sana duniani, lakini headlines
mfululizo ndani ya wiki moja sasahivi sio stori nzuri sasa.. tulisikia
kuhusu Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini kumpa adhabu ya kusimamishwa mechi nne staa wa soka toka Brazil ambae pia ni winga wa pembeni katika Kikosi cha Barcelona, Neymar da Silva Santos Júnior.
Leo nimempata huyu mwingine Gonzalo Jara ambaye na yeye kaingia kwenye headlines baada ya kumshika mchezaji mwenzake Cavani skwenye
makalio.. inaonekana ni kama haikuwa bahati mbaya kwa vile kabla
hajamshika kulitokea kujibizana kati yao.. Video ya tukio hilo
imeendelea kusambaa mitandaoni kutokana na hukumu kuonekana kumwangukia
asiye na hatia.
Edinson Cavani alikasirishwa na kitendo cha Gonzalo,
akampiga kibao cha uso.. refa akatoa kadi ya njano kwa Cavani, lakini
kwa vile tayari jamaa alikuwa na kadi ya njano ikabidi apigwe nyekundu
na kutolewa nje ya uwanja.
Mechi hiyo ilikuwa kati ya Chile na Uruguay.. wachambuzi wanamjadili Gonzalo bado, wanasema ikitokea Uchunguzi ukaonesha jamaa ni kweli alimshika Cavani kwenye makalio hii itakuwa mara ya pili kwake kufanya kosa linalofanana kabisa na alilomfanyia Luis Suarez mwaka 2013, na mwisho ikawa hivyohivyo Suarez kupiga ngumi ya uso.
Unaweza kucheki kilichoendelea hapa.
No comments:
Post a Comment