LAYIII
Majibu ya tatu bora kutoka kwenye list
ya tano bora ya Wagombea Urais wa CCM tutayajua leoleo JULY 11 2015
kutoka hapahapa Dodoma.
Niko na wewe mtu wangu kwenye kila
hatua, kila tukio la hapa ni lazima nilisogeze kwako pia… matukio
mengine ya nje ya Ukumbi wa CCM Dodoma ni haya niliyoyanasa kwenye hizi
pichaz.
Camera za Waandishi wa Habari ziko karibu na kila tukio hapa Dodoma.
Wengine wanashuhudia kila kitu kwa hapa juu ya ghorofa jirani na Ukumbi wa CCM.
Ilibidi Polisi waweke kamba kuzuia mtu yoyote kusogea karibu zaidi ya Ukumbi.
Wa juu ya ukuta nao hawaishi wala hawapungui.
Magari ya Maji washawasha nayo yakasogezwa.
Mwandishi wa Habari na Camera yake kazi inaendelea!!
Farasi na mbwa nao walikuwepo kwenye mikono ya Vikosi vya Polisi na FFU wakati wote.
Waandishi wa Habari.
Ambulance ziliwekwa karibu pia kwa ajili ya dharura.
No comments:
Post a Comment