LAYIII
Tayari mchujo wa pili ulitangazwa saa kadhaa zilizopita hapa Dodoma ambapo walioingia ni John Magufuli, Asharose Migiro na Amina Salum kutoka kwenye tano bora iliyowahusisha pia January Makamba na Bernard Membe, watatu hawa kila mmoja
Tayari
mchujo wa pili ulitangazwa saa kadhaa zilizopita hapa Dodoma ambapo
walioingia ni John Magufuli, Asharose Migiro na Amina Salum kutoka
kwenye tano bora iliyowahusisha pia January Makamba na Bernard Membe,
watatu hawa kila mmoja alipewa dakika 15 za kuongea live mbele ya
Wajumbe na
Watanzania.
Tayari mchujo wa pili ulitangazwa saa kadhaa zilizopita hapa Dodoma ambapo walioingia ni John Magufuli, Asharose Migiro na Amina Salum kutoka kwenye tano bora iliyowahusisha pia January Makamba na Bernard Membe, watatu hawa kila mmoja
Baada ya hayo kutoka kwenye ukumbi mpya wa
mikutano wa CCM hapa Dodoma, mpango wa upigaji kura kumchagua mmoja kati
ya hawa watatu ulishaanza ambapo Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM
Jakaya Kikwete aliahirisha mkutano huu mpaka saa nne asubuhi ya July 12
2015 ambako mwakilishi mmoja anaesubiria anatarajiwa kutangazwa.
No comments:
Post a Comment