Monday, 31 August 2015

KANYE WEST RAIS WA MAEKANI MWAKA 2020 KUFUATIA KUTANGAZA KWAKE NIA

LAYIII
Kanye West na Kim Kadarshian walikua miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo za MTV Video Music Awards 2015… na siku zote watu wamezoea kupokea vituko kutoka kwa Kanye viwe vya kufurahisha ama kusikitisha usiku hauwezi kuisha bila kumsikia Kanye West.

Time hii Kanye alikuwa na haya ya kusema wakati akipokea tuzo yake ya MTV Video Vanguard Award; >>> “Kama mlivyoweza kuamua mwaka huu, na mimi nimeamua kuwa mwaka 2020 nagombea Urais”<<< Kanye West.
Kama hukuweza kumshuhudia akiyasema hayo maneno akiwa stejini, hapa chini nimekuwekea kipande cha video cha Kanye West  na baadhi ya tweets za watu kutoka Twitter.

No comments:

Post a Comment

advertise here