LAYIII
Kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 zimeshaanza tayari na tumewaona Wanasiasa mbalimbali wakisimama mbele ya Watanzania kutumia time yao kuwashawishi wapate zile
YES za kutosha na hatimaye kuchukua nafasi ya uongozi na kuleta mabadiliko waliyoahidi.
Miongoni mwa waliosimama mbele ya Watanzania kuzitaka kura za Urais ni pamoja na mgombea Urais kupitia chama cha ACT WAZALENDO Anna Mghwira ambaye unaweza kuyapata yote makubwa anayoyasema kwa kutazama hii video hapa chini.

No comments:
Post a Comment