EWAAAA FURAHIA MAGOLI YA SIMBA VS URA AUGUST 2015 FULL TIME 2-1
August 15 2015 ilikua siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa Simba na URA ya Uganda sababu timu hizi mbili zilikutana kwenye mechi iliyopigwa uwanja wa taifa Dar es salaam ambapo mpaka time inakatika matokeo ilikuaSimba 2 – 1 URA, unaweza kutazama magoli yote ya Simba hapo juu kwenye hiyo video.
No comments:
Post a Comment