LAYIII
Katika maisha kila mtu ana dream yake
lakini wote hatutofautiani sana kwani huyu atataka kuwa Doctor, nurse,
mwanasheria, askari polisi tunapokuja kufanana ni pale kila mtu
anapohitaji kutumia matunda yake aliyochuma kutoka sehemu mbalimbali
hususani katika kazi yake.
Hakuna askari polisi, Doctor,
mwanasheria au nurse asiyekuwa na ndoto y
a kumiliki gari, nyumba nzuri
na mengine mengi, basi August 17 nakuletea gari ya kwanza ya
mshambuliaji na nahodha wa Manchester United ya Uingereza Wayne Rooney kumiliki hii ilikuwa wakati yupo katika klabu ya Everton ambapo makazi yake ni katika jiji la Liverpool.
No comments:
Post a Comment