Monday 13 July 2015

HII NDO PESA ALIYO LIPWA DIAMOND BAADA YA NYIMBO ZAKE KUCHEZWA KTK TV ZA MAREKANI

LAYIII
Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.

DNi utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao
kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.
Tazama hii video hapa chini ujue hizo milioni alizozichukua Diamond.


No comments:

Post a Comment

advertise here