Tuesday, 8 March 2016

TAZAMA PICHA 4 ZA AJARI ILIYOTOKEA TABATA DAR ES SALAAM

LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO
Moja ya taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya magari matatu ambayo ni gari la abiria aina ya DCM, Lori la mchanga na gari lingine lililokuwa limebeba mchanga kugongana katika eneo la Tabata, Dar es salaam.
Hadi sasa hakujawa na uhakika wa taarifa za uhakika
 kuhusiana na chanzo cha ajali ikiwa ni pamoja na vifo na majeruhi, millardayo.com inaendelea kufuatilia undani wa tukio hili na endelea kukaa karibu ili kila litakalonifikia niweze kukusogezea.
Na hizi ni picha nne za kwanza kutokea katika eneo la tukio…..
BONYEZA PICHA KWENDA KTK VIDEO ZA JMETTY
IMG-20160309-WA0006
Mashuhuda wakiangalia ajali eneo la Tabata, Dar
IMG-20160309-WA0007
Garia la abiria likiwa limeharibika baada ya ajali
IMG-20160309-WA0008
Hapa ni gari la abiria likiwa limeharibika baada ya ajali kutokea

No comments:

Post a Comment

advertise here