Justin Bieber amekuwa
mbali na mtandao wa Instagram tangu mwezi August 2016 ambapo alijiondoa
rasmi kwenye mtandao huo hali ambayo imesababisha mashabiki wake kumiss
kumuona kwenye mtandao huo ambao unamuwezesha mtumiaji kutuma picha
pamoja na video.
Akiwa kwenye show yake London aliuliza
mashabiki “nani angependa nirudi Instagram?
huku mashabiki wakishangilia kwasauti kumaanisha wangependa arudi tena ila Justin alisema hawezi kurudi Instagram kwani anaamini mtandao huo ni wa shetani na unatupeleka kuzimu na hawezi kurudi kwenye mtandao huo.

>>> “Nah,
I don’t want to get my Instagram back… I’m sure… I think hell is
Instagram. I’m 90 percent sure. We get sent to hell, we get like locked
in the Instagram server.” – Justin Bieber
Video: Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama >>>
No comments:
Post a Comment