LAYIII ON SPOT
Leo June 12 2015 tunahesabu saa chache
tu kushuhudia Historia ikiandikwa kwenye Burudani ya Muziki TZ, Tuzo
kubwa za Muziki Tanzania, KTMA 2015 leo kuna kipya kilichotangazwa na
waandaaji wa Tuzo hizo.
“Kuna
mabadiliko machache tofauti na ilivyokuwa mwaka jana… tumebadilisha
mpangilio wa Venue ambao kwa mwonekano watu wote wataangalia
mbele… mbali na hayo baada ya Show tumeandaa sherehe ambayo
itawajumuisha watu wote kuburudika kwa pamoja tofauti na kipindi
kilichopita“>>> Pamela Kikuli
“Pia
tofauti iliyopo ni kwamba hakutakuwa na utaratibu wa watu kulipia na
kuingia kwenye show badala yake watahudhuria wale ambao wamepokea
mwaliko tu“>>>
“Tumeona
sio vibaya kupokea maoni kutoka kwa wadau mbali mbali ambao wanafuatilia
Show hizi ndio sababu iliyotufanya tufanye mabadiliko makubwa kwenye
show hii kwa mwaka 2015“>>> Pamela Kikuli.
No comments:
Post a Comment