Wednesday, 24 June 2015

MJUE NYOTA MPYA KUTOKA BRAZIL ALIYEPANDA BEI BAADA YA KUHAMIA LIVERPOOL

LAYIII
Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United baada ya kufanikiwa kumsajili mshambuliaji kutoka Brazil Roberto Firmino aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Hoffenheim kwa mkataba wa miaka mitano.

Nyota mpya wa Brazil aliyesajiliwa na Liverpool..aingia kwenye rekodi ya mchezaji ghali zaidi!!

braa
Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United
baada ya kufanikiwa kumsajili mshambuliaji kutoka Brazil Roberto Firmino aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Hoffenheim kwa mkataba wa miaka mitano.
Gharama ya kumsajili mshambuliaji huyo imefikia kiasi cha pauni millioni 29 na anatarajia kufanyiwa vipimo vya matibabu baada ya kumalizika kwa michuano ya Copa Amerika inayoendelea huko Chile ambapo kwa sasa anaitumikia timu yake ya Brazil.
Tayari Firmino amefunga mabao 47 katika mechi 151 akiwa na klabu yake ya Hoffenheim na atakuwa mchezaji wa pili wa Liverpool anayelipwa fedha nyingi zaidi baada ya Andy Carroll kuwa mchezaji ghali alipojiunga kwa kitita cha pauni milioni 35 kutoka Newcastle mwaka 2011.

 


No comments:

Post a Comment

advertise here