LAYIIII
Maandalizi ya zile pilikapilika za Ligi
mbalimbali Ulaya yanaendelea, kwenye Klabu kuna mengi yanafanyika
ikiwemo kubadili Jezi zao na kuzitangaza.
Arsenal wameingia
kwenye Headlines nao baada ya kuzindua Jezi zao mpya watakazozitumia
msimu wa 2015/16… Uzinduzi umefanyika kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa
Emirates, London na MC alikuwa striker wa zamani wa Klabu hiyo, Thierry Henry.
Fans wa Klabu hiyo nao walipata nafasi ya kushuhudia tukio hilo jingine kubwa la Kihistoria.
No comments:
Post a Comment