Linah
ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi
alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori
kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.Ilimfanya mama afikie hatua hiyo baada ya kusikia tu stori za watu na
baadhi ya mitandao na gazeti lililoandika hiyo habari lakini ukweli
wenyewe kutoka kwa Linah uko kwenye hii video ya Interview aliyofanyiwa TZA kwenye studio ya Millard Ayo.
No comments:
Post a Comment