HABARI ZA HIVI PUNDE NI KWAMBA KARENZI KAREKE AMEACHILIWA KWA DHAMANA
LAYIII
Luteni jenerali Karenzi Karake ametakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku.
Luteni jenerali Karenzi Karake alikamatwa siku ya jumamosi katika
uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha
kukamatwa cha ulaya.
Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda anatarajiwa kufika mahakamani hivi leo
Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda ameachiliwa kwa dhamana.
Luteni jenerali Karenzi Karake ametakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku.
Luteni jenerali Karenzi Karake alikamatwa siku ya jumamosi katika
uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha
kukamatwa cha ulaya.
Waandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa KK wako nje ya ubalozi wa Uingereza Kigali KK anatakiwa na Madrid
kuhusiana na vifo vya wafanyikazi wahispania waliokuwa wakihudumia
mashirika ya misaada na mauji ya kimbari nchini Rwanda.
Rwanda imeonyesha masikitiko yake na kukamatwa kwake.
Waandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa KK wako nje ya ubalozi wa Uingereza Kigali Luteni jenerali Karenzi Karake,
mwenye umri wa miaka 54 ni mtu wa kwanza wa ngazi ya juu kutoka kwa
orodha ya watu 40 walio na wadhfa mkubwa katika jeshi la RPF orodha
iliyotolewa na jaji mmoja wa Uhispania akitaka wakamatwe.
Waandamanaji wamepinga kuzuiliwa kwake
Wanakabiliwa na mashtaka ya
madai ya kuhusika katika vitendo vinavotajwa kuwa uhalifu wa kivita
uliofanyika dhidi ya wahutu mnamo mwaka 1990 huko Kazkazini mwa Rwanda.
Miongoni
mwa wanaodaiwa kufariki kutokana na matukio hayo ni raia watatu wa
Uhispania waliokuwa wakifanya kazi ya kutoa misaada ya kibinadamu katika
eneo hilo la kazkazini mwa Rwanda.
Luteni jenerali Karenzi Karake alizuiliwa katika uwanja wa ndege wa Heathrow jumamosi Jaji muhispania Fernando Merelles ndiye aliyetoa warranti hizo na kutaka wakamatwe,agizo alilolitoa tangu February 2008 .
Karenzi Kareke kufikishwa mahakamani leo
Serikali ya Rwanda imeghadhabishwa na waranti hizo ikisema hazina msingi wowote.
Rwanda
imekuwa ikishtumu hatua hiyo ya jaji Merelles na kusema ni kutumiwa
vibaya na mahasimu wa serikali wenye misimamo mikali na kwamba
jaji huyo hajachukua hatua zipasavyo kupata mashahidi kutoka Rwanda au hata kufanya kazi pamoja na mahakama za Rwanda.
No comments:
Post a Comment