Tuesday 8 December 2015

HII KWA WANAUME NA WANAWAKE WASIO NA UJASIRI WAKATI WA KUTONGOZA NA KUTONGOZWA

LAYIII

Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu.
Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.
   Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.
Sio Kweli !!!

   Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5. Au wengine wanatoboka sana mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo. Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo bure, tena bila kunawa!


 Je Unajua Njia Sahihi za Ku-handle Vikwazo vya Wanawake?
  Wanawake ni watu wa vikwazo. Wenyewe wanasema wanaweka vikwazo ili kukupima kama una "mapenzi ya kweli". Unachotaka wewe ni kimoja. Kula mzigo. Maana inabidi ule mzigo kwanza, ndo ujue kama uendeleze mapenzi yawe ya kweli ... au upotezee. Au sio mzee?
  Ila yeye atakuwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:
  • Niko kwenye period
  • Nina boyfriend / mume / mchumba
  • Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
  • Mama yangu mgonjwa
  • Niko bize na kazi
  • Nimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!
  • Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
  • Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
  • Mi bado mdogo
  • Sitaki!!
  • Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
  • Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/n.k.)
  • Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
  • Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
  • na kadhalika
  Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?
  Utajisikiaje nikikwambia kuwa vikwazo vya dizaini hiyo vingi ni geresha tu ... sio vikwazo kwa maana ya vikwazo bali ni fursa nzuri kwako kupata unachotaka?
  Na bomba zaidi je unajua mbinu za kutumia ili kumfanya mwanamke asikupe kabisa vikwazo kama hivyo? Ukimtongoza mwanamke vibaya atakuwekea vikwazo vingi na hata kama utampata atakuwa ashakuzungusha sana na kukupotezea muda na pesa. Ukiwa na mbinu za kuzuia vikwazo maisha yako yatakuwa rahisi zaidi.
Sasa Mpango Mzima Uko Namna Hii...
  Tuna wataalam wa kutongoza. Hao jamaa ni noma, we mwenyewe ukiwasikia sound zao, na ukiona swaga zao utawakubali.
  Na uzuri zaidi sio sound na swaga tu, bali wanakula kweli mizigo fasta tena bure bure. Sio watu wa maneno miiiingi na resi kibao halafu mwisho wa siku wakaishia kunawa. La hasha, wanasoundisha na wanakula mzigo.
  Kila wiki tunarekodi na kurusha kupitia email (au CD) "episode" kadhaa ambapo wataalam wanatokea mademu kwenye mazingira mbali mbali. Njiani, barabarani, vyuoni, kazini, stendi za daladala, kwenye daladala, club, beach, n.k.
  Ukisikiliza hizi "episode" utapata darasa kamili la ujanja wa kumtongoza mwanamke yoyote yule, mahali popote.
  Si rahisi kukupa picha kamili kwa maneno tu, inabidi ujiunge nasi uanze darasa ndipo utajionea mwenyewe.
  Kwenye "episode" zetu utasikia staili mbali mbali za kutongoza, kama vile:
  • Tongoza ya kistaarabu (kiupole)
  • Tongoza ya ki-gangsta (yaani kigumu gumu)
  • Tongoza ya ki-mafia (yaani no kubembeleza)
  • Tongoza ya kizungu
  • Tongoza ya kihindi
  • Tongoza ya kiarabu
  • Tongoza ya kimya kimya
  • Tongoza ya mchanganyiko wa aina mbali mbali hapo juu
  Kila tongoza ina mahali pake, utasikia na maelekezo ya ziada kuwa tongoza ipi itumike wapi ... ukichanganya umeharibu!
Na Si Hayo Tu.
  Kwenye "episode" za kila wiki utapata sio tu kusikiliza laivu wanawake mbali mbali wanavyotongozwa mpaka kitandani, bali utapata na "track" za ziada ambapo mtaalam husika anaelezea na kufafanua kile alichokuwa anafanya na mahesabu aliyokuwa anapiga kichwani mwake wakati anamtongoza huyo mwanamke.
  Kutongoza kunahitaji maandalizi makubwa nyuma ya pazia ... maandalizi ya kiakili, kimuonekano, kusoma mazingira, na kumsoma mwanamke.
  Kwa hiyo utapata na maelezo ya ziada kwa nini mwanamke fulani katongozwa kwa staili fulani badala ya staili fulani. Hii itakusaidia kukujenga ndani na nje ili uwe "striker" hatari kuliko Emmanuel Okwi.
Tusiandikie Mate.
  Kukupa mfano wa "episode" zetu sikiliza hii ya Hidaya. Hidaya tulikutana naye mitaa ya Kinondoni mida ya jioni jioni akiwa na haraka anakwenda Ilala.
  Mtaalam mmoja akamtokea, sikiliza mwanzoni alivyokuwa anajifanya yeye mgumu ... halafu mwishoni mwenyewe akalainika na kukubali kwenda na "Mtaalam"
  Hidaya aligongwa usiku huo huo kwenye getto la Mtaalam, halafu akasindikizwa tu kituoni aendelee na safari yake. Hakupewa hata shilingi ... bali maneno matamu matamu tu.
PERUZI BONGO

Zifuatazo ni jinsi ya kutongoza mwanamke aina hii:

1. Kuwa na sababa za uhakika
Kabla kuanza chochote, unafaa kujiuliza kwa nini unataka kumtongoza huyo mwanamke. Najua hautaki kumtongoza kwa sababu ya umbo lake ama unataka kujionyesha kuwa wewe ni bingwa kutongoza mademu warembo zaidi manake ukifanya hivyo utakuwa umejidhalilisha kimpango flani. Pia usijaribu kumtongoza ili kumuonyesha mpenzi wako wa zamani kuwa hatoshi mboga. [Soma: Jinsi ya kumuiba mwanamke ambaye ana boyfriend]
Pili unafaa kuifahamu miondoko ya msichana mwenyewe kiufupi, yaani kuyajua maisha yake, vitu anavyovipenda, na pia je mkiwa pamoja mnaweza kuunganika. Ukihakikisha kuwa sababu zote unazo za kumtongoza mwanamke huyu, basi sasa unafaa kuruka kwa step ya pili.

2. Kuwa gentleman
Kujifanya sharobaro kwa mwanamke aina hii huwezi kutoboa hata mara moja. So nilazima utumie maujanja ya kuwa mnyenyekevu kwa kila mmoja. Usiwe mtu ambaye unaropokwa na kutusiana na wanawake ovyo ovyo. Unafaa ujaribu kadri uwezavyo kuheshimu kila mtu. Hii ataona kuwa wewe unadalili za kuwa mwanaume bora zaidi wa kuwa naye.[Soma: Vitu ambavyo mwanamke angependa kutoka kwa mwanaume]

3. Kuwa mcheshi
Wanawake hupenda wanaume wacheshi, yaani mtu ambaye anaweza kumfurahisha na kujiskia na furaha wakati wote. Ok kuna wanaume ambao ni vigumu wao kumchekesha mwanamke lakini hio si sababu ya kuwa hautakuwa na nafasi ya kumpata mwanamke wa ndoto zako. Hakikisha hata kama ni mara moja unahifadhi baadhi ya vitu ambavyo kwa hakika vitachekesha. Na amini usiamini, wakati ambapo utakuwa ukimfurahisha, itakuwa rahisi kwako kuwa na nafasi rahisi ya kuuteka moyo wake.[Soma: Jinsi ya kumchekesha mwanamke]

4. Kuwa karibu naye
Hapa simaanishi kuwa kila mahali atakapokuwa unamfuata nyuma nyuma kama fisi, la. Kile ambacho namaanisha hapa ni kuwa uhakikishe kuwa atleast una company na yeye. Hii inaweza kufanikishwa kiurahisi kama wewe ni rafiki wa rafiki yake. Unaweza kuitisha kikao na rafiki yako halafu umwambie amkaribishe rafiki yake (huyo mnayemzimia). Hapo itakuwa rahisi kwako kueneza mbinu ya 3 hapo juu kwa urahisi.
Onyo: Usianze kumtongoza papo kwa papo...anza na kumfanya akuzoee halafu mengine yatakuja baadae.[Soma: Mfanye mwanamke apagawe aanze kuvutiwa kwako]

5. Kujiamini
Kujiamini ni lazima. Bila kujiamini mwanamke kama huyo hutampata. Hii ni kwa sababu aina kama hii ya mwanamke kwa mara nyingi huwa na maringo ambayo wakati mwingine wanaume wengi wanaona kama ni madharau. Hii ndio mbinu kuu ya mwanamke kama huyu hutumia ili kuhakikisha amejitenga na baadhi ya wanaume. So wewe kama wewe mwanamke kama huyu unafaa kumchukulia kama binadamu wa kawaida. Ukishafanya hivyo, itakuwa rahisi kwako kwani utakuwa umejitenga na kategoria ya wanaume waoga kwa mbali. [Soma: Jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa njia ya kirafiki]

6. Muonyeshe uzuri wako
Hapa lazima umuonyeshe talanta yako yeyote ambayo unayo. Aidha unaweza unakipawa cha kuimba, kuchora, kudensi, kubendua maungo nk. Owk utajiuliza kwa nini unafaa umuonyeshe talanta yako. Jibu ni rahisi. Wewe hautakuwa pekeako kumtamani ama kumtongoza, so lazima uje na kitu ambacho kitakutofautisha na wanaume wengine ili asikusahau. Ukimwonyesha kipawa chako labda anaweza kukukubali na akapenda mambo yako na kumfanya kutamani kuwa na wewe mara kwa mara.

7. Tafuta udhaifu wake
Kila mwanamke anaudhaifu wake katika vitu na mambo tofauti tofauti. Hakikisha umejua udhaifu wake vizuri. Kama anampenda mwanamziki flani, sehemu fulani ama chochote kile, hakikisha umejipatia nafasi ya utafiti ili wakati mwingine utakapokutana na yeye unazua stori kuhusu jambo analolipenda. Atachangia na wewe ujazie. Hii itakufanya wewe kuweza kukupenda kwani ataona kuwa kuna mfanano kati yenu kwa vitu mnavyopenda. [Soma: Maswali mazuri ya kutongoza kumuuliza mwanamke]

8. Makinika na akili yake na wala si umbo lake
Kama tulivyotangulia kusema, ni kuwa wanawake ambao hamko ligi moja nao kwa kawaida wanajitambua kuwa wao ni warembo kupindukia. So wataona kama wanachoshwa kuambiwa kuwa ni warembo, so kile ambacho unachohitaji kushungulikia zaidi kumsifu kwa mambo ambayo anayoyafanya na kupitia akilini mwake. Baada ya kuongea na yeye katika maongezi tofauti tofauti, atakufungulia moyo wake kwa urahisi ambapo hapo utatumia nafasi kumjua kiundani kumhusu. Akitaja kitu ambacho kimekupendeza unaweza kutumia nafasi hio ya kumsifu na kumwambia kuwa umependezwa sana kwa kutaja au kugusia swala fulani.

9. Jaribu kuja na kitu tofauti

Kama imetimia ule muda wako ambao unaona kuwa umefikia level ya kumfungilia moyo wako na kumwambia kuwa unampenda, jaribu kufanya kitu tofauti ambacho hajawahi kufanyiwa na yeyote. Usijaribu kumpelekea maua kwani hio inaweza kuwa si mara yake ya kwanza kupokea maua so kama ni wewe ungefanya uchunguzi na kitu ambacho bado unaona hajawahi kuletewa so ukifanikiwa kumsaprize vizuri, una nafasi kuu ya wewe kufanikiwa kumpata yule aliyendotoni. [Soma: Jinsi ya kutongoza kama bingwa kwa wanaoanza]

Haimaanishi kuwa mwanamke ambaye hayuko ligi yako huwezi kufanikiwa kumtongoza. Ukitumia ujanja ambao ni tofauti na wanaume wengine una nafasi kubwa ya kufaulu. Kutumia ujanja wako vizuri na kujiamini ni kama mkuki kwa mwanamke, ukiurusha haukosi kutoboa.


No comments:

Post a Comment

advertise here