Saturday, 26 September 2015

'VIVA ROMA VIVA' WAFUNGIWA RASMI

layiii

Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) wameufungia rasmi wimbo wa mwanamuziki Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ uitwao 'Viva Roma Viva' na nyinginezo zenye ujumbe kama ule unaokiuka
maadili.
Basata kuwa, imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba, hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.


No comments:

Post a Comment

advertise here