Thursday 16 July 2015

AAMUA KUTUWISHA NDEGE YAKE BARABARANI

LAYIII

Mambo yalivyoharibika Rubani ilibidi aishushe ndege katikati ya barabara na magari yanapita.. Ona pichaz na video

11140244_905720162820481_1506951124395673716_n
Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani ambaye alijiongea na kuona bora aishushe
ndege katikati ya barabara ya magari iliyopo Stafford, New Jersey Marekani.
11011968_905720172820480_4664896051868985254_n
Polisi wa Stafford waliweka Video mtandaoni ikionesha tukio lote lilivyotokea, ndege ilikuwa imebeba Wanafunzi wa  Skydive East Coast ambao hawakutajwa walikuwa ni wangapi, ila alikuwepo Mwalimu wao mmoja ambaye alipata jeraha mkononi.. hakuna mtu mwingine aliyejeruhiwa kwenye tukio hilo.
11695008_905720136153817_3393491445109608619_n
Flight

Hapa iko video pia ya tukio lote, yani ni kama bahati tu watu wote kutoka salama.

 



No comments:

Post a Comment

advertise here