Monday 5 December 2016

MIJI KUMI MICHAFU ZAIDI DUNIANI

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO mwaka 2010 takribani watu 223,000 walfariki dunia kutokana na kansa ya mapafu.
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO


10. LAHORE, PAKISTAN

Most Polluted Cities Lahore nchini pakistan ndo mji uonaonekana kuwaumesheheni watu wengi ukiwa na wastani wa 200 mcg/m3na ukionekana ndo mji unaoongoza kwa uchafu duniani kulingana na takwimu za mwaka 2003

9. Kanpur, India

Polluted City of India Kanpur

Kanpur, maarufu kwa biashara  ya ngozi, ni moja ya miji michafu zaidi duniani. Kwa mujibu wa  takwimu ya mwaka 2008 ina wastani wa 209 mcg / m3, imekuwa ikizungumzwa kuwa ndio jiji lenye watu wengi india

8. Yasuj, Iran

Beautifu girls of Yasuj, Iran 

ikiwa na wastani wa 215 mcg / m3kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2009
Yasuj imekuwa ikijumuishwa kama mji wenye watu wengi zaidi duniani

KUTAZAMA MJI ILIYOBAKI TAFADHARI CHUKUA MUDA WAKO KUITAZAMA VIDEO YAKE HAPA MTU WANGU





 


 


 


No comments:

Post a Comment

advertise here