Friday, 3 June 2016

AJABU LA KANISA LILILOJENGWA KWA UMBO LA KIATU HUKO TAIWAN

LIKE PAGE YETU HAPA
Kanisa la urefu wa mita 16 lililojengwa kwa kutumia vigae vya glasi linalofanana na viatu vyenye visigino virefu vinavyopendwa sana na wanawake limejengwa huko Taiwan kwa lengo la kuwavutia wanawake zaidi.
Bonyeza picha kuiona video usiache kusubscribe nami youtube
kanisaLikiwa limejengwa kwa kutumia vigae vya glasi takriban 320,kanisa hilo la rangi ya buluu lina upana wa mita 10 na limegharimu takriban dola 686,000.
Picha iliopigwa juu ya kanisa hilo pia imeonyesha ukubwa wa kanisa hilo pamoja na uzuri wa eneo lililojengwa.


kanisa 1
ULIMISS KUONA MAKARIBISHO YA RICH MAVOKO HUKO WCB VIDEO HI HAPA

No comments:

Post a Comment

advertise here