Thursday 18 June 2015

NYINGINE KUTOKA KWA DONGATE AKA DIAMOND PLATNUMZ ,,,,,,,,, FATA HAPA MTU WANGU

LAYIII ON SPOT
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.

Diamond Platnumz kwenye kollabo nyingine na msanii Donald kutoka South Africa!!

donald-na-Diamond
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.
Kasi ya Diamond haijaishia hapo kwani sasa hivi ameingia tena studio South Africa na msanii Donald kutengeneza ngoma nyingine kupitia Universal Music Studios  
nchini South Africa, na hapa nina baadhi ya picha za wasanii hawa wawili wakiwa studio wanarekodi nyimbo yao mpya pamoja na kipande cha video ambacho ndani tunaisikia nyimbo yao mpya kidogo.
d-n-d-3

donald-na-diamond2
Wasanii hawa leo watasikika live kupitia Metro Fm jijini South Africa na badaae kufanya mkutano na Universal Music Studios.
Hiki hapa ni kapande cha video cha Diamond na Daniel wakiwa studio wanarekodi  ambacho wimbo wao mpya unasikika kidogo.

No comments:

Post a Comment

advertise here