LAYIII
Ruby.
Ni Sept 26, 2015 ambapo mashabiki wa
muziki wa Bongo Fleva walishuhudia Burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii
mbalimbali akiwemo, Ruby, Fid Q, Aika na Nahreel, Damian Soul, Barnaba na wengineo,Show hiyo iliyopewa jina la Kill Fest ilifanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar es
Salaam.
Dulla kutoka East Africa Radio na EATV.
.
No comments:
Post a Comment