Tuesday, 19 January 2016

BARABARA ZA ANGA KUWA TISHIO TANZANIA

LAYII
Kama umebahatika kukatisha makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere pale eneo la mataa ya TAZARA utakuwa umekutana na bango linaloonesha dalili nzuri… ni dalili za ujio wa flyover, zile barabara ya juujuu kwa ajili ya kusaidia kuokoa foleni eneo lile.

RAMANI
Ilikuwa moja ya ahadi za Rais Magufuli alipokuwa akizindua Kampeni zake za Urais 2015, lakini kabla ya hapo wakati akiwa Waziri wa Ujenzi katikati ya mwezi October 2015 alisaini na Serikali ya Japan mkataba wa ujenzi wa flyover hiyo… unaweza kuicheki video yenye ramani kamili mzigo ukikamilika.


No comments:

Post a Comment

advertise here