LAYIII ON SPOT
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani..........................................................

DK. MALECELA ASAKA WADHAMINI KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS
Dk. Mwale Malecela (kulia)
akizungumza na wananchi kupitia kituo cha Mwambao Radio lilichopo Tanga
eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga Freshi, kushoto ni mtangazaji
wa zam Jonas Msangi.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya
Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha
habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya
Kiwanda cha Tanga Fresh ambaye ni mtoto wa Makamu wa zamani wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao
wamejitosa kugombea urais kupitia CCM. Dk. Mwale katika maisha yake
mengi kwa zaidi ya miaka20 amekua mtumishu katika Taasisi ya Taifa ya
Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ambako alianza kazi akiwa kijana
na akapanda hadi kuwa mtafiti mkuu na baadaye akateuliwa kuwa
Mkurugenzi Mkuu, licha ya kukulia katika familia ya mwanasiasa (PICHA NA
KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG.
Dk. Mwale Malecela katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha Mwambao Radio.
No comments:
Post a Comment